Friday 29th, March 2024
@Gairo
Mwenge wa Uhuru Utapokelewa Wilaya ya Gairo tarehe 22.07.2018, na kukimbizwa katika Kata 10 kwa umbali wa Km 140. 5 ambapo jumla ya miradi saba (7) itapitiwa.
Mwenge utapokelewa eneo la Kijiji cha Tabu-Hotel ukitokea Manispaa ya Morogoro na kukimbizwa kupitia barabara ya Morogoro-Dodoma,Ngiloli-Iyogwe na barabara za katikati ya Mji wa Gairo. Mkesha wa Mwenge utafanyika katika viwanja vya Ukwamani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 715240010
Simu ya Kiganjani: +255 715240010
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa