Huduma zetu zinahusika katika kutoa ushauri wa ufugaji bora na wa kisasa,chanjo na tiba kwa mifugo wako, kaguzi wa mabucha ya nyama, ukaguzi wa mifugowanaotarajiwa kuchinjwapamoja na ukaguzi wa nyama mabuchani.
Kwa ushauri na maelezo zaidi tembelea ofisi zetu Idara ya Maendeleo yaMifugo utakutana na maafisa mifugo watakao kusaidia zaid.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Kichangani, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255232935454
Simu ya Kiganjani: 0754837650
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa