• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji
      • Aridhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Fedha na Baishara
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano.
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Sheria
      • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
      • Katiba inayopendekezwa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba

Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji


Idara hii ndiyo kituvu kikuu cha Halmashauri, ikiwa na majukumu makubwa ya kubuni, kusimamia na kufuatilia utekelzaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya Halmashauri. Aidha idara ya Mipango inawajibika pia katika upangaji wa Bajeti ya halmashauri kwa kila mwaka kwa kuzingatia vipaumbele vilivyowekwa sambamba na miongozo mbalimbali toka serikali kuu kupitia Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Wizara ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI.

Lengo lake ni kutoa huduma za kitaalamu katika nyanja za Mipango, Bajeti na vilevile kuratibu shughuli za Halmashauri katika kutoa uwezeshaji wa utaalamu kwa wakuu wa Idara nyingine. Seksheni hii inaongozwa na Afisa Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji wa Wilaya anayewajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji.

Majukumu ya Idaya ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji

  • Kuratibu suala zima la maendeleo ya kiuchumi kwenye Mkoa ikijumuisha Sekta Binafsi, Mashirika ya serikali, Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na Asasi za kijamii.
  • Kushauri na kuratibu utekelezaji wa sera za sekta mbalimbali katika Mkoa
  • Kuratibu maandalizi, usimamizi na tathimini ya mipango (Mpango Mkakati, Mpango Kazi na Bajeti) kwa ajili ya Halamshari na Sekretarieti ya Mkoa
  • Kuratibu mikutano ya Kamati ya Ushauri ya Halmashauri.
  • Kuchambua, kuunganisha na Kusimamia maandalizi na utekelezaji wa Mpango wa Sekretarieti ya Mkoa na Bajeti
  • Kuratibu miradi inayofadhiliwa na wafadhili/wadau wa maendeleo na kushauri shughuli za utekelezaji wa Miradi.
  • Kumshauri Mkurugenzi kuhusu shughuli na majukumu ya mashirika, taasisi za kijamii na sekta binafsi
  • Kushauri na kuratibu shughuli za utafiti katika Halmashauri
  • Kuratibu mazoezi ya sensa ya watu na makazi
  • Kuratibu shughuli zitokanazo na majanga katika Wilaya
  • Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuandaa maandiko ya miradi
  • Kuratibu utekelezaji au ushughulikiaji wa masuala mtambuka ikijumuisha masuala ya Jinsia, Ulemavu, HIV/AIDS, na Kuwa mratibu au msimamizi wa masuala ya Jinsia katika Wilaya.
  • Kuratibu utekelezaji na kusimamia ushiriki wa sekta binafsi katika masuala mbalimbali ya maendeleo
  • Kusimamia na kutathimin utekelezaji na utendaji wa serikali za Vijiji na kata ndani ya Halmashauri.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALICHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO MWAKA 2021 December 18, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI GAIRO 2021 December 17, 2020
  • Uhuishaji wa Leseni za Biashara June 30, 2021
  • Usafi wa Mazingira kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi January 31, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KIKAO KILICHOITISHWA NA MKUU WA WILAYA YA GAIRO BI. SIRIEL MCHEMBE KILICHOFANYIKA TAREHE 13/11/2020 KATIKA UKUMBI WA HALAMASHAURI YA WILAYA KWA LENGO LA KUTOA MWELEKEO WA WILAYA BAADA YA UCHAGUZI MKUU

    November 16, 2020
  • KIKAO CHA KAMATI YA LISHE KILICHO KUTANISHA KAMATI YA LISHE YA NGAZI YA WILAYA , MKOA NA KAMATI YA LISHE KUTOKA OR TAMISEMI

    July 02, 2020
  • WILAYA YA GAIRO NA UTAJIRI WA MADINI YA DHAHABU

    June 11, 2019
  • HUDUMA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO SASA ZAPATIKANA KATIKA MAJENGO YAKE MAPYA YALIYOPO KATIKA KATA YA GAIRO.

    May 01, 2019
  • Tazama zote

Video

Marufuku kumaliza kesi za mimba nyuma ya pazia
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Kichangani, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: 0754837650

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa