Kikao kilifunguliwa na Katibu Tawala wa Mkoa Wa Morogoro Ndg. Cliphord Tandari aliyekuwa Mgeni rasmi. Lengo ilikuwa ni Kujadili Chf iliyoboreshwa, Mfumo Jazia na Muundo mpya wa CHF iliyoboreshwa.Mheshimiwa mgeni rasmi alielezea lengo la Serikali ni kuhakikisha kila mwananchi anasajiliwa na kuwa na kadi ya bima ya afya ya CHF kwa wananchi wasio watumishi wa Serikali na pia kuondoa uhaba wa dawa kupitia mfumo Jazia.
Aliendelea kusema kwa sasa mfuko huu wa bima utakuwa chini ya usimamizi wa Ofisi yake hivyo kuhimiza kila Halmashauri zifanye vizuri katika utoaji wa huduma hitajika na kusema watendaji watakao mwangusha atawashughulikia kwa kuwa kaletewa mtoto amlee.
Aliendelea kusema kwa sasa mfuko huu wa bima utakuwa chini ya usimamizi wa Ofisi yake hivyo kuhimiza kila Halmashauri zifanye vizuri katika utoaji wa huduma hitajika na kusema watendaji watakao mwangusha atawashughulikia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 715240010
Simu ya Kiganjani: +255 715240010
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa