Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mh. Daktari Kebwe Steven Kebwe amefanya ziara uzinduzi wa Zahanati ya Meshugi iliyopo kata ya Mkalama na Zahanati ya Kisitwi iliyopo kata ya Rubeho katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo
Dkt Kebwe Steven Kebwe ambaye aliambatana na Mkurugenzi Mtendaji Bi. Agnes Mkandya, Mkuu wa Wilaya Bi. Siriel Mchembe, Mwenyekiti wa Halmashauri Bi. Rechel Nyangasi pamoja na Viongozi mbalimbali wa Halmashauri, amewashukuru wananchi wa Kata zote mbili kwa kushiriki kwao katika kuchangia huduma za afya(Maendeleo) kwa Moyo na ushirikiano.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 715240010
Simu ya Kiganjani: +255 715240010
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa