• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji
      • Aridhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Fedha na Baishara
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano.
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Sheria
      • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
      • Katiba inayopendekezwa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba

UTAFITI WA HALI YA LISHE NCHINI KWA MWAKA 2018

Posted on: October 17th, 2018

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Taasisis ya Chakula na Lishe Tanzania inaendesha utafiti wa Kitaifa kwa lengo la kubaini hali ya Lishe nchini. Utafiti huu umeanza mwezi Septemba na unatarajia kukamilika Novemba 2018, ukitumia methodolojia iitwayo “ SMART” ikiwa na maana ya ukusanyaji wa Takwimu na Uchambuzi wake kwa wakati na kuchukua hatua stahiki ili kutatua matatizo yaliyopo kwa sasa na kuandaa mazingira ya kujikinga na matatizo hayo.

Utafiti huu ni wa pili kufanyika Kitaifa  kwani wa kwanza ulifanyika mwaka 2014.Utafiti huu unafanyika katika Mikao yote 26 ya Tanzania bara na Mikoa 5 ya Zanzibar. Sampuli ya kaya zinachaguliwa kushiriki kwa kufuata utaratibu maalumu wa kitaaluma ili kuweza kuziwakilisha kaya nyingine.

Walengwa katika utafiti huu ni Watoto chini ya miaka mitano ambao wanapimwa uzito, urefu na mzingo wa mkono. Walengwa wengine ni Wanawake walioko kwenye umri wa kuzaa (15-49) ambapo wanapimwa uzito, urefu na wingi wa damu na wanawake wajawazito wanapimwa mzingo wa mkono.

Katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo utafiti huu unaanza tarehe 18-20 /10/2018 katika Kata ya Mkalama Mitaa ya  Songe, Kwibobodo na Misheni, Kata ya Italagwe Kijiji cha Ijava kitongoji cha Chang’ombe na Ngutoto, Kata ya Magoweko mtaa wa Magoweko.

 Hivyo watafiti wanapopita katika maeneo hayo wananchi mnaombwa kuwapa ushirikiano

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALICHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO MWAKA 2021 December 18, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI GAIRO 2021 December 17, 2020
  • Uhuishaji wa Leseni za Biashara June 30, 2021
  • Usafi wa Mazingira kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi January 31, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KIKAO KILICHOITISHWA NA MKUU WA WILAYA YA GAIRO BI. SIRIEL MCHEMBE KILICHOFANYIKA TAREHE 13/11/2020 KATIKA UKUMBI WA HALAMASHAURI YA WILAYA KWA LENGO LA KUTOA MWELEKEO WA WILAYA BAADA YA UCHAGUZI MKUU

    November 16, 2020
  • KIKAO CHA KAMATI YA LISHE KILICHO KUTANISHA KAMATI YA LISHE YA NGAZI YA WILAYA , MKOA NA KAMATI YA LISHE KUTOKA OR TAMISEMI

    July 02, 2020
  • WILAYA YA GAIRO NA UTAJIRI WA MADINI YA DHAHABU

    June 11, 2019
  • HUDUMA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO SASA ZAPATIKANA KATIKA MAJENGO YAKE MAPYA YALIYOPO KATIKA KATA YA GAIRO.

    May 01, 2019
  • Tazama zote

Video

Marufuku kumaliza kesi za mimba nyuma ya pazia
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Kichangani, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: 0754837650

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa