UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI CCM 2015 UNATEKELEZWA KWA VITENDO KATIKA WILAYA YA GAIRO
#HAPA KAZI TU’’
Mhe. SHABIBY AHMED Mbuge wa Wilaya Gairo leo tarehe 28/07/217 alikuwa kwenye sekta ya Elimu.
Amefanya ufunguzi wa Madarasa na Ofisi mbalimbali za shule za msingi; Gairo B,Mnjilili,Lolela na shule ya sekondari ya Mjembwe kama ifuatavyo;
Pia uzinduzi huo uliambatana na Viongozi waafuatao; Mkulgenzi Mtendaji(W)Bi AGNES M MKANDYA, Mwnyekiti wa Halmashauli Bi. RECHEL NYANGASI, MWNYEKITI WA CCM WILAYA n.k
‘’ Wananchi endeleeni kuchangia shughuri za maendeleo ,Hakuna hata senti tano iliyopotea” kauli dhabiti ya Mkulugenzi Mtendaji.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 715240010
Simu ya Kiganjani: +255 715240010
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa