Mkuu wa Shule ya Sekondari Gairo, anawakaribisha Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Kitado cha Tano Shuleni hapo. Ili kufahamu zaidi maelekezo muhimu tafadhali pakua fomu hii na uijaze kwa usahihi kisha wasilisha shuleni siku ya kuripoti GAIRO SEC.FORM V JOINING INSTRUCTIONS 2023.pdf
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa