Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anapenda kuwataarifu waombaji wote wa ajira nafasi ya Katibu Mahususi Daraja la III (Nafasi 2), waliokidhi vigezo baada ya kukamilika kwa zoezi la uchambuzi wa barua za maombi na vyeti kama ilivyoelekezwa katika tangazo la awali la maombi ya ajira, kuwa usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 20 hadi 21/11/2022 ili kuwapata Watumishi wanye Sifa za kujaza nafasi hizo. Usaili Utafanyika katika Ukumbi wa Halmashauri.
Kwa maelezo zaidi na Orodha ya walioitwa kwenye usaili, gonga linki hapo chini kupakua
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 715240010
Simu ya Kiganjani: +255 715240010
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa