Na. Cosmas M. Njingo. GAIRO.
Aprili 18
"Acheni mara moja tabia ya kutumiana nyaraka za Serikali kwenye Mitandao ya Kijamii, barua nyingi zinatembea kwenye makundi yenu ya Whatsapp. Tambueni kuwa hii haikubaliki na nikosa Kisheria". Mwl. Wakurila
Mkuu wa Disheni ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilayaya Gairo Mwl. Petronilla Wakurila, ameonya taabia ya baadhi wa Wakuu wa Shule na Maafisa elimu Kata kutumia makundi ya Watsapp kusambaza nyaraka mbalimbali za Serikali zikiwepo barua, hali ambayo alisema inachangia siri za Serikali kuvuja.
Ametoa onyo hilo wakati wa mafunzo ya Upimaji wa Viashiria vya Utendaji kwa Maafisa Elimu kata na Wakuu wa shule za Sekondari yaliyofanyika Aprili 17.2023, yaliyolenga kuwajengea uwezo viongozi hao ili kusimamia kikamilifu utekelezaji wa afua mbalimbali zilizopo katika Mkataba wa uboreshaji wa Elimu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa