Na. Cosmas Mathias Njingo
GAIRO, MOROGOR
Oktoba 16.2022
Jamii bado inahitaji elimu zaidi kuhusu hasara au faida za ukeketaji ili itambue kwa kina madhara ya jambo hilo, pamoja na kushiriki kupinga vitendo hivyo, badala ya jamii kuendeleza vitendo vya ukeketaji kwa mazoea na tamaduni za kale.
Bi. Anna Marwa ni Afisa Programu na mipango wa Asasi ya Kiraia inayojihusisha na utoaji elimu kwa Umma na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii (PELUM), alisema swala la ukeketaji linaendelea kutekelezwa katika jamii kutokana na kukumbatia mila na desturi ambazo hazina tija na ukweli kuhusu faida za ukeketaji.
Mradi wa WRCC unaofadhiliwa na #GLOBAL AFFAIR CANADA kupitia #SEED CHANGE ambao niwawezeshaji wakubwa wa Asasi ya #PELUM Tanzania pamoja na
@Mtandao wa Jinsia Tanzania #TGNP
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa