• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira
    • Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni za Halmashauri
      • Seksheni ya Rasilimali Watu
      • Seksheni ya Utawala
    • Divisheni ya Mipango na Ufuatiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Baraza la Madiwani
  • Miradi
    • Miradi ya Maendeleo
      • Sekta ya Elimu Msingi
        • Miradi Mipya
        • Miradi iliyokamilika
      • Sekta ya Elimu Sekondari
      • Sekta ya Afya
      • Sekta ya Barabara/Miundombinu
      • Sekta ya Maji
  • Machapisho
    • Katiba ya JMT
    • Sheria ndogo ndogo za Halmashauri
    • Hotuba Mbalimbali
    • Sera ya Elimu
    • Taarifa za Hesabu za Mwisho
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

KLABU YA MICHEZO YA GDC YAPATA VIONGOZI WAPYA

Posted on: July 30th, 2023

MATOKEO YA UCHAGUZI WA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KLABU YA MICHEZO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO (GDC SPORTS CLUB) JULAI 25. 2023 UKUMBI MKUBW WA MIKUTANO
1. Said Jumbe - M’Kiti (Anaigia moja kwa moja kwa nafasi yake)

2. Emmanuel Francis Kassanga - Makamu M’Kiti (amepita bila kupingwa)

3. Cosmas Mathias Njingo - Katibu Mkuu (Kura 12)


4. Christopher Walless Mussa - Katibu Msaidizi (Kapita bila kupingwa)

5. Gindu Novate Ndekeleke - Mweka Hazina (Kapita bila kupingwa)

Wajumbe wa Kamati Tendaji1. Oliver James Mponji - Mjumbe Nafasi ya Upendelo uwiano wa Jinsia

2. Julius Mrema - Mjumbe (Kura 8)

3. Martine Sypriano Busangwa - Mjumbe (Kura 14)
Viongozi hao wote ndio watakuwa Wajumbe wa Kamati Tendaji wa GDC SC Wilaya ya Gairo, na Watashiriki Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Viongozi wa Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Taifa (SHIMISEMITA) chini ya Baraza la Michezo la Taifa BMT tarehe 29/07/2023 jijini Dodoma.

Shukrwani kwa wajumbe wote walioshiriki kwenye uchaguzi huu na wapiga kura kufanikisha upatikanaji wa safu ya uongozi ngazi ya Halmashauri kupitia Klabu ya Michezo.



Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWEYE USAILI WAOMBAJI NAFASI ZA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI III NA DEREVA II September 21, 2024
  • TANGAZO LA HALMASHAURI KUKUSANYA USHURU WA USAFI May 07, 2024
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA PROGRAM YA BBT May 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI NA DEREVA July 12, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAJALIWA AFUNGUA TAWI LA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR MKOA WA MOROGORO

    July 17, 2024
  • GAIRO SEKONDARI YATEKELEZA AGIZO LA KULIMA BUSTANI ZA MBOGAMBOGA, MATUNDA

    July 15, 2024
  • MARUFUKU KUUZA, KUNUNUA MAZAO KWA KUPIMA KWENYE NDOO, MADEBE

    July 12, 2024
  • KAMA UNATAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI

    July 11, 2024
  • Tazama zote

Video

WANAFUNZI DARASA LA SABA WAASWA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255 787730665

    Simu ya Kiganjani: +255 717222572

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa