• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira
    • Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni za Halmashauri
      • Seksheni ya Rasilimali Watu
      • Seksheni ya Utawala
    • Divisheni ya Mipango na Ufuatiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Baraza la Madiwani
  • Miradi
    • Miradi ya Maendeleo
      • Sekta ya Elimu Msingi
        • Miradi Mipya
        • Miradi iliyokamilika
      • Sekta ya Elimu Sekondari
      • Sekta ya Afya
      • Sekta ya Barabara/Miundombinu
      • Sekta ya Maji
  • Machapisho
    • Katiba ya JMT
    • Sheria ndogo ndogo za Halmashauri
    • Hotuba Mbalimbali
    • Sera ya Elimu
    • Taarifa za Hesabu za Mwisho
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MADIWANI WATAKIWA KUSIMAMIA UKUSAJI MAPATO, KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WA KATA

Posted on: December 8th, 2022

Cosmas Mathias Njingo; 

Gairo, MOROGORO.

Disemba 8.2022.

 Waheshimiwa Madiwani, Wataalam ngazi ya Halmashauri na Watendaji wa Kata na Vijiji, wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa sambamba na kusimamia kikamilifu zoezi la ukusanyaji wa mapato ili kuiwezesha Halmashauri kupata fedha za kujiendesha.

Wahe.Madiwani wakishiriki Kikao cha Baraza la kujadili taarifa za maendeleo  ya Kata kwa kipindi cha Robo ya Kwanza cha Julai Septemba 2022/2023.

Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Mhe. Rahel Nyangasi wakati akifungua kikao cha Baraza la Waheshimiwa Madiwani cha kupitia na kujadili taarifa za robo ya Kwanza utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya kwa kipindi cha Julai Septemba 2022/2023, kilichofanyika Disemba 8.2022 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

“Kamati ya fedha na Baraza la Madiwani tumekuwa tukitoa maagizo mbalimbali kuhusu usimamizi waukusanyaji mapato, lakini bado hali ya makusanyo siyo nzuri. Bado kunamianya ambayo inavujisha mapato, kadhalika bado kuna uzemba katika usimamizi wa kukusanya mapato. Ipo haja ya sisi sote kwa pamoja kushirikiana ili kuhakikisha tunakusanya mapato”. Alisema Mhe. Nyagasi.

Mwenyekiti Nyangasi akasisitiza kuwa; kuna mapungufu mengi katika ukusanyaji wa mapato kwenye chanzo cha stendi ya mabasi, ambapo magari mengi ya abiria hayafuati utartibu wa kupakia abiria ndani ya stendi na badala yake madereva wanapakia abiria nje ya stendi na maeneo mengine yasiyo rasmi.

“Usimamizi wa ukusanyaji wa mapato kwenye stendi yetu ya mabasi unaudhaifu mkubwa

Sana, hatukusanyi ipasavyo kwani kuna mabasi mengi hayaingii ndani ya stendi kupakia abiria; shughuli za kupakia abiria zinafanyika nje ya stendi kinyume na taratibu zetu za ukusanyaji mapato”. Alibainisha Mwenyekiti Nyangasi.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWEYE USAILI WAOMBAJI NAFASI ZA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI III NA DEREVA II September 21, 2024
  • TANGAZO LA HALMASHAURI KUKUSANYA USHURU WA USAFI May 07, 2024
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA PROGRAM YA BBT May 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI NA DEREVA July 12, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAJALIWA AFUNGUA TAWI LA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR MKOA WA MOROGORO

    July 17, 2024
  • GAIRO SEKONDARI YATEKELEZA AGIZO LA KULIMA BUSTANI ZA MBOGAMBOGA, MATUNDA

    July 15, 2024
  • MARUFUKU KUUZA, KUNUNUA MAZAO KWA KUPIMA KWENYE NDOO, MADEBE

    July 12, 2024
  • KAMA UNATAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI

    July 11, 2024
  • Tazama zote

Video

WANAFUNZI DARASA LA SABA WAASWA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255 787730665

    Simu ya Kiganjani: +255 717222572

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa