• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira
    • Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni za Halmashauri
      • Seksheni ya Rasilimali Watu
      • Seksheni ya Utawala
    • Divisheni ya Mipango na Ufuatiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Baraza la Madiwani
  • Miradi
    • Miradi ya Maendeleo
      • Sekta ya Elimu Msingi
        • Miradi Mipya
        • Miradi iliyokamilika
      • Sekta ya Elimu Sekondari
      • Sekta ya Afya
      • Sekta ya Barabara/Miundombinu
      • Sekta ya Maji
  • Machapisho
    • Katiba ya JMT
    • Sheria ndogo ndogo za Halmashauri
    • Hotuba Mbalimbali
    • Sera ya Elimu
    • Taarifa za Hesabu za Mwisho
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MAONYESHO YA 88 2022 YAAKISI HALI YA MAISHA YA WAKULINA, WAFUGAJI: RC SHIGELA

Posted on: June 29th, 2022

Na. Cosmas Mathias Njingo. GAIRO DC

Ikiwa ni katika msimu wa kuelekea katika maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nane Nane kwa mwaka 2022 rai imetolewa kwa viongozi na wataalam mbalimbali kuhakikisha shughuli zote zitakazofanyika zinaendana na jamii ili iweze kujifunza na kupata tija katika shughuli za kilimo, ufugaji na uvuvi.

Rai hiyo imetolewa Juni 29, 2022 na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Martine Shigela wakati wa kikao cha Tathmini ya Maonyesho ya Nane Nane kwa kanda ya Mashariki mwaka 2020 ambapo kikao hicho kilihusisha wakuu wa mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es salaam, wakuu wa wilaya, makatibu tawala mikoa na wilaya, wakuu wa wilaya, wakurugenzi watendaji na wataalam wa kilimo na mifugo pamoja na maafisa habari.

Kwa pamoja wakuu hao wa mikoa wametaka shughuli zote zitakazofanyika kuanzia Agosti Mosi hadi 8 mwaka huu katika viwanja vya Nane Nane mkoani Morogoro, licha ya kuwalenga wakulima na wafugaji lakini pia wananchi wote kiujumla kwa kutoa elimu na teknolojia mbalimbali huku wakisisitiza sekta  na wadau wengine kuhusishwa ambapo wameagiza kila Halmashauri kujipanga kuonyesha shughuli zake ikiwemo uwepo wa vipando vya mazao mbalimbali, mifugo na uvuvi huku wakisisitiza taasisi, kampuni na vyuo mbalimbali kuhusishwa.

Aidha kanda ya Mashariki katika maadhimisho ya siku ya wakulima kwa mwaka 2022 imejipanga kufanya maonyesho hayo kuwa bora zaidi kwa kujikita katika kuleta tija kwa wananchi kwa kutoa elimu, ushauri na teknolojia mbalimbali za kilimo, mifugo na uvuvi na masuala mbalimbali ya ujasiriamali ambapo taasisi za kilimo, kidini, utafiti, kibenki na kampuni mbalimbali zitahusika.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWEYE USAILI WAOMBAJI NAFASI ZA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI III NA DEREVA II September 21, 2024
  • TANGAZO LA HALMASHAURI KUKUSANYA USHURU WA USAFI May 07, 2024
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA PROGRAM YA BBT May 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI NA DEREVA July 12, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAJALIWA AFUNGUA TAWI LA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR MKOA WA MOROGORO

    July 17, 2024
  • GAIRO SEKONDARI YATEKELEZA AGIZO LA KULIMA BUSTANI ZA MBOGAMBOGA, MATUNDA

    July 15, 2024
  • MARUFUKU KUUZA, KUNUNUA MAZAO KWA KUPIMA KWENYE NDOO, MADEBE

    July 12, 2024
  • KAMA UNATAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI

    July 11, 2024
  • Tazama zote

Video

WANAFUNZI DARASA LA SABA WAASWA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255 787730665

    Simu ya Kiganjani: +255 717222572

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa