Na. Cosmas Mathias Njingo. GAIRO
Julai 25
Mwenyekiti was Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Gairo Mhe. Jabiri Omari Makame (DC), @jabiri_makame_ amepiga marufuki watoto wenye umri chini ya miaka 18 kushiriki kwenye shughuli za uchimbaji madini kwenye migodo iliyopo Wilayani humo na badala yake Wazazi wawahimize Watoto wao kwenda shule.
Ametoa marufuku hiyo Julai 21 wakati wa ziara yake na Viongozi waandamizi wa Wilaya kujionea shughuli za uchimbaji madini katika migodi mipya iliyoibuliwa hivi karibuni na wachimbaji wadogo wadogo katika maeneo mbalimbali ya Kata ya Leshata.
Makame aliambatana na Katibu Tawala Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri na Kaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya Afande Mhina Donati na
Mhe.Diwani wa Kata hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa