Na. Cosmas Mathias Njingo, MOROGORO
Mei Mosi 2023
Serikali imesema itaendelea kuboresha maslahi ya Watumishi wa Umma kwa kuhakikisha inaweka mazingira rafiki ya utendaji kazi sambamba na kurejesha utaratibu wa nyongeza ya mishahara kwa kila mwaka.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, ametoa kauli hiyo Mjini Morogorom wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi Duniani Meimosi 2023, katika viwanja vya Jamhuri.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa