Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwassa, amesema swala la upatikanaji wa Chakula cha Mchana shuleni kwa ajili ya Wanafunzi ni la Wazazi wote kuhakikisha wanatekeleza jambo hilo, nakuwataka walimu kufundisha muda wa masaa ya ziada ili kuongeza kiwango cha ufaulu.
Mhe. Mwassa alisema hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Elimu iliyoambatana na Tuzo ya Kiongozi wa Elimu katika Ukumbi wa Nazareth Wilaya ya Gairo Februari 18.2023.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa