• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira
    • Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni za Halmashauri
      • Seksheni ya Rasilimali Watu
      • Seksheni ya Utawala
    • Divisheni ya Mipango na Ufuatiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Baraza la Madiwani
  • Miradi
    • Miradi ya Maendeleo
      • Sekta ya Elimu Msingi
        • Miradi Mipya
        • Miradi iliyokamilika
      • Sekta ya Elimu Sekondari
      • Sekta ya Afya
      • Sekta ya Barabara/Miundombinu
      • Sekta ya Maji
  • Machapisho
    • Katiba ya JMT
    • Sheria ndogo ndogo za Halmashauri
    • Hotuba Mbalimbali
    • Sera ya Elimu
    • Taarifa za Hesabu za Mwisho
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA HALMASHAURI YAANZA KUJIANDAA MICHUANO YA SHIMISEMITA

Posted on: July 18th, 2023

Na. Cosmas Mathias Njingo. GAIRO 

JULAI 18.2023


Kikosi kazi cha maangamizi cha Timu ya Watumishi ya Mpira wa Miguu 'DGC SPORTS CLUB' kabla ya mechi ya kirafiki dhidi ya Moro Kids ya Mjini Morogoro iliyopigwa katika Viwanja vya Shule ya Msingi Gairo 'A' Wilayani Gairo.

Awali Timu hizi mbili zilitarajiwa kuingiza uwanjani kukipiga kwa ajili ya kuwania Pikipiki kwenye michuano ya kuwania Pikipiki lakini mchezo huo haukufanyika km ulivyotarajiwa kufuatia Timu ya Moro Kids kuchelewa kuingia uwanjani hali iliyolazimu Uongozi wa Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Gairo kwa kushirikiana na Viongozi wa timu hizo pamoja na waamuzi wa mchezo huo kwa kauli moja wakaipa ushindi mnono wa mezani wa Alama 3 Timu ya GDC Sports Club.

Baada ya ushindi huo wa Alama 3 kwa GDC Sports Club, timu hizo zikakubaliana kupimana nguvu kwenye mechi ya kirafiki ambapo zilitoshana kwa sare ya bao 1-1.

Moro Kids ilikuwa ya kwanza kuigegeda timu ya GDC SC katika kipindi cha kwanza cha mchezo baada ya kuitandika bao 1.

Hali ilibadilika kwenye kipindi Cha pili cha mchezo kufuatia shuti kali mithili ya bomu la Atomiki la Beki namba 3 Hussein Kitubwi lililonyooshwa kwa goti la kushoto likachungulia uvungu wa Moro Kids na kuzama kinywani mwa lango hilo huku nyavu zikitetema mithili ya kuku mwenye mdonde na kuandika bao la kufuta machozi.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWEYE USAILI WAOMBAJI NAFASI ZA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI III NA DEREVA II September 21, 2024
  • TANGAZO LA HALMASHAURI KUKUSANYA USHURU WA USAFI May 07, 2024
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA PROGRAM YA BBT May 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI NA DEREVA July 12, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAASWA KUSHIRIKIANA NA NEC KUHAMASISHA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    February 24, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAIPONGEZA HALMASHAURI KWA MAANDALIZI MAZURI

    February 23, 2025
  • VYAMA VYA SISA VYAHIMIZWA KUHAMASISHA WANACHAMA WAO KUJITOKEZA KUSHIRIKI KATIKA AWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI, UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    February 21, 2025
  • MKOA WA MOROGORO WAJIPANGA KUIWEKA WILAYA YA GAIRO KWENYE RAMANI YA UZALISHAJI WA PARACHICHI NCHINI

    February 19, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAFUNZI DARASA LA SABA WAASWA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255 787730665

    Simu ya Kiganjani: +255 717222572

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa