• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira
    • Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni za Halmashauri
      • Seksheni ya Rasilimali Watu
      • Seksheni ya Utawala
    • Divisheni ya Mipango na Ufuatiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Baraza la Madiwani
  • Miradi
    • Miradi ya Maendeleo
      • Sekta ya Elimu Msingi
        • Miradi Mipya
        • Miradi iliyokamilika
      • Sekta ya Elimu Sekondari
      • Sekta ya Afya
      • Sekta ya Barabara/Miundombinu
      • Sekta ya Maji
  • Machapisho
    • Katiba ya JMT
    • Sheria ndogo ndogo za Halmashauri
    • Hotuba Mbalimbali
    • Sera ya Elimu
    • Taarifa za Hesabu za Mwisho
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MKURUGENZI SHARIFA AWAAGIZA WATENDAJI WA KATA, VIJIJI KUTOA ELIMU YA SHERIA YA KUDHIBITI SUMUKUVU

Posted on: July 3rd, 2024

Na Cosmas Mathias Njingo GAIRO

Julai 3 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri amewaagiza Watendaji wa Kata na Vijiji kwenda kutoa elimu ya sheria ndogo ya Halmashauri ya kudhibiti vitendo vinavyosababisha Sumukuvu kwenye mazao.

Ametoa agizo hilo Julai 2.2024 wakati wa kikao cha kazi cha Maafisa kutoka Ofisi ya Rais Tamisemi, Wizara ya Kilimo na Umwagiliaji pamoja na Watendaji wa Kata cha kujadili utekelezaji wa sheria hiyo ndogo ya Halmashauri inayolenga kudhibiti sumukuvu kwenye mazao.

“Pamoja na kwamba Waziri mwenye dhamana ameridhia Sheria hii ipite na kuanza kuitumia, nivizuri kkwanza kwenda kuitafasiri kifungu kwa kifungu kwa Wadau wote kabla ya kuanza kuitekeleza ili kuondoa malalamiko wakati wa utekelezaji”. Bi. Sharifa aliagiza.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA KUITWA KWEYE USAILI WAOMBAJI NAFASI ZA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI III NA DEREVA II September 21, 2024
  • TANGAZO LA HALMASHAURI KUKUSANYA USHURU WA USAFI May 07, 2024
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA PROGRAM YA BBT May 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI NA DEREVA July 12, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKOA WA MOROGORO WAJIPANGA KUIWEKA WILAYA YA GAIRO KWENYE RAMANI YA UZALISHAJI WA PARACHICHI NCHINI

    February 19, 2025
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO LARIDHIA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 18, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, KILIMO NA MIFUGO YAHIMIZA UHARAKISHWAJI WA UJENZI WA BARABARA YA GAIRO-NONGWE

    February 17, 2025
  • KAMATI YA BUNGE YAHIMIZA WAKULIMA VIJIJI VYA MASENGE, MKOBWE KUPADA MITI

    February 15, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAFUNZI DARASA LA SABA WAASWA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255 787730665

    Simu ya Kiganjani: +255 717222572

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa