Posted on: March 10th, 2023
Jeshi la Polsi Wilaya ya Gairo likiongozwa na Askari Wanawake, limetoa Msaada ma vitu mbalimbali kwa watoto waishio katika mazingira magumu waliopo kituo cha kulelea watoto yatima cha Betheli
...
Posted on: March 9th, 2023
Wahemiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Wizara ya Kilimo na Umwagiliaji, wakati wa mafunzo kwa Wah. Madiwani kuhusu Madhara ya SUMUKUVU na udhibiti ...
Posted on: March 8th, 2023
Jeshi la Polisi Wilaya ya Gairo, limewataka watoto wanaoishi katika mazingira magumu kuishi kwa upendom kujiepusha na dhambi, sambamba na kutoa taarifa dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo vya kika...