Posted on: June 11th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Gairo ametoa vifaa vya ujenzi vyenye thaman ya shilingi zaidi ya Shilingi milioni mbili ikiwepo mifuko 118 ya sementi na bati 28 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa shule za m...
Posted on: June 12th, 2021
Viongozi wa Serikali Wilayani Gairo wameswa kuacha mara moja tabia ya marumbano na kubisnaha hadharani mbele ya Wananchi na watendaji wa umma, kwani kufanya hivyo ni kujishushia hadhi katika jamii wan...
Posted on: June 10th, 2021
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Gairo limewafukuza kazi Mratibu wa Elimu Kata na Tatibu Afya, kwa tuhuma za utoro kazini, pamoja na kuwarejesha kazini watumishi wengine watano wa idara ya ...