• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

MRADI WA UJENZI WA VYUMBA 3 VYA MADARSA SHULE YA SEKONDARI SEKWAO

Start Date: 2021-11-21
End Date: 2021-12-15

bofya hapa kuona zaidi

Mradi huu unagharimu jumla ya Tsh.60 Milioni kuanzia hatua ya uchimbaji msingi kuweka zege, ujenzi wa msingi, kumwaga jamvi, kupandisha ukuta, lenta, kufunga matungilizi, kupaua na kufanya umaliziaji wa miundo mbinu yote muhimu ikiwepo kuweka madirisha ya vioo, kupaka rangi kuweka fremu za milango na top zake, kuweka malumalu na kufunga umeme. Kwa mujibu wa maelekezo ya Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, miradi hii inapaswa kuwa imekamilika kufikia Desemba 15 2021 ili kuwezesha wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga kidato cha kwanzan 2022 kuwa na uhakika wa vyumba vya madarasa

Matangazo ya Kawaida

  • SOMA TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KADA MBALIMBALI May 25, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUZOA TAKA, KUFANYA USAFI NA KUKUSANYA USHURU WA USAFI June 01, 2022
  • Uhuishaji wa Leseni za Biashara June 30, 2021
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA May 28, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YA AJIRI WATUMISHI WAPYA 16,676 ELIMU, AFYA. WAPO 261 WENYE ULEMAVU. NAFASI NYINGINE 736 ZAKOSA WAOMBAJI

    June 26, 2022
  • GAIRO YAFULULIZA KUPATA HATI YA KURIDHISHA MIAKA MINNE (4) UKAGUZI WA HOJA ZA CAG

    June 17, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA TUZO YA KWA MKOA WA MOROGORO KWA KUTEKELEZA KAMPENI YA UPANDAJI MITI

    June 06, 2022
  • WACHIMBAJI WADOGOWADOGO WA MADINI WATAKIWA KULIPA USHURU, KODI ZA SERIKALI

    May 28, 2022
  • Tazama zote

Video

LIPA KODI KWA MAENDELEO YA HALMASHAURI YAKO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: +255 767498981

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa