Tunawakaribisha sana katika Halmashauri yetu tushirikiane kwa pamoja kufanikisha kusukuma guruduma la maendeleo Wilayani kwetu. Tovuti hii inatuwezesha sote kupashana habari muhimu zinazogusa nyanja za Elimu, Jamii, Uchumi, Mazingira, Kilimo, Biashara, Mifugo, Misitu sambamba na utekelezaji wa miradi mbalimbali kwenye ngazi zote kuanzia vijiji hadi Wilaya. Tumia uwanja huu kwa kusoma na kutoa taarifa ili kuongeza tija. ASANTENI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255232935454
Simu ya Kiganjani: +255 767498981
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa