Ili kupata hati ya malipo ya mshahara wako tafadhali fuata maelekezo yafuatayo:
A. Ikiwa ni mara yako ya kwanza kuingia katika mfumo huu unachotakiwa kufanya ni kujisajili katika mfumo wa Hati za Malipo ya Mshahara kwa kubofya neno JISAJILI (Register) ili kukamilisha usajili utatakiwa kuingiza taarifa zifuatazo,
BOFYA HAPA kisha fuata maelekezo ya kujisajili na kupata hati ya mali
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Kisimani, Kata ya Magoweko.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255
Simu ya Kiganjani: 0754837650
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa