Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ni miongoni mwa Halmashauri tisa (09) za Mkoa wa Morogoro. Ipo umbali wa Kilomete 133 kutoka Morogoro Mjini, upande wa Magharibu mwa Mkoa, ikipitiwa na barabara kuu inayounganisha Mkoa wa Morogoro na Dodoma, pamoja na mikoa mingine ya Kanda ya Kati na Ziwa.
Halmshauri ya Wilaya ya Gairo ilianzishwa Julai 2013, kwa Tangazo Na.....kupitia Gazeti la Serikali toleo Na....la mwaka.....
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255232935454
Simu ya Kiganjani: +255 767498981
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa