• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji
      • Aridhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Fedha na Baishara
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano.
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Sheria
      • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
      • Katiba inayopendekezwa
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba

KIKAO KILICHOITISHWA NA MKUU WA WILAYA YA GAIRO BI. SIRIEL MCHEMBE KILICHOFANYIKA TAREHE 13/11/2020 KATIKA UKUMBI WA HALAMASHAURI YA WILAYA KWA LENGO LA KUTOA MWELEKEO WA WILAYA BAADA YA UCHAGUZI MKUU

Posted on: November 16th, 2020

Kikao hicho kilihusisha Timu ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Wakuu wa Taasisi zote zilizopokatika Wilaya ya Gairo, Mkurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri, Maafisa Tarafa wa Tarafa mbili za Wilaya ya Gairo, Watendaji wa Kata zilizopo katika Mamlaka ya Mji Mdogo Gairo na Wenyeviti wa Vitongoji vya Mamlaka ya Mji Mdogo.

Akifungua kikao hicho, Mh. Mkuu wa Wilaya ya Gairo alianza kwa kutoa pongezi kwa kufanya na kumaliza salama uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais uliofanyika tarehe 28/10/2020 na kusisitiza kuwa kazi zinatakiwa kuendelea pia mabadiliko ya awamu ya kwanza ya Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuingia awamu ya pili na kuasa kwamba lazima mabadiliko yaendane na kasi ya Mh. Rais.

Aliongeza kwa kusema ni lazima kujipanga upya na kuangalia changamoto na mafanikio ya awamu ya kwanza, aidha alisisitiza mambo yafuatayo:-

  • Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi,
  • Kuandaa na kutekeleza mpango kazi wa Wilaya,
  • Kushughulikia kero za Wananchi,
  • Ukusanyaji wa mapato,
  • Utekelezaji wa miradi ya maendeleo,
  • Uuzaji wa vitambulisho vya wajasiliamali wadogowadogo,
  • Uhamasishaji juu ya Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa (iCHF),
  • Utolewaji wa mikopo ya Wanawake, Vijana na wenye Ulemavu,
  • Hali ya lishe ya Wilaya na
  • Urudishaji wa asilimia ishirini (20%) za ukusanyaji mapato.

Mwisho aliwakaribisha wenyeviti wa Vitongoji kutoa pongezi, kero, changamoto na mafanikio toka kwa wananchi, na wakuu wa Taasisi na Mkurugenzi walizipokea changamoto na kero na kuahidi kuzifanyia kazi kadri inavyowezekana.

Matangazo ya Kawaida

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALICHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO MWAKA 2021 December 18, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI GAIRO 2021 December 17, 2020
  • Uhuishaji wa Leseni za Biashara June 30, 2021
  • Usafi wa Mazingira kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi January 31, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KIKAO KILICHOITISHWA NA MKUU WA WILAYA YA GAIRO BI. SIRIEL MCHEMBE KILICHOFANYIKA TAREHE 13/11/2020 KATIKA UKUMBI WA HALAMASHAURI YA WILAYA KWA LENGO LA KUTOA MWELEKEO WA WILAYA BAADA YA UCHAGUZI MKUU

    November 16, 2020
  • KIKAO CHA KAMATI YA LISHE KILICHO KUTANISHA KAMATI YA LISHE YA NGAZI YA WILAYA , MKOA NA KAMATI YA LISHE KUTOKA OR TAMISEMI

    July 02, 2020
  • WILAYA YA GAIRO NA UTAJIRI WA MADINI YA DHAHABU

    June 11, 2019
  • HUDUMA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA GAIRO SASA ZAPATIKANA KATIKA MAJENGO YAKE MAPYA YALIYOPO KATIKA KATA YA GAIRO.

    May 01, 2019
  • Tazama zote

Video

Marufuku kumaliza kesi za mimba nyuma ya pazia
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Kichangani, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: 0754837650

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa