Shughuli za Ufugaji:-
Kilimo ni nguzo kubwa ya ukuzaji wa uchumi kwa wanachi wengi Wilayani Gairo. inachangai upatikanajiwa ajira kwa zaidi ya asilimia 90 ya kaya zote. Zao kubwa la chakula na Baishara ni Mahidi na Maharage. Aidha shughuli za ufugaji baadhi ya zinafanywa na wazawa ikiwa ni shughuli ya pili kwa uzalishaji mali. Aina ya mifugo ni pamoja na Kondoo, Mbuzi, Kuku, nguruwe na Ngombe sambamba na punda kwa ajili ya shughuli za ubebaji mzigo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa