CHONGOLO ATIMIZA AHADI YAKE Zahanati ya Italagwe iliyopo kata ya Italagwe Tarafa ya Gairo, Wilayani Gairo, imepokea kitanda cha Kujifungulia Wajawazito ikiwa ni ahadi iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Bw Daniel Chongolo wakati wa Ziara yake kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo sekta za Afya na Elimu.
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Jabiri Makame (mwenye kofia kushoto) akikabidhi kitanda cha Msaada kwa niaba ya Katibu Mkuu CCM Taifa, Bw Daniel Chongolo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa