Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) imepokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mpangona Bajeti kwa mwaka fedha 2023/2024 ambapo Halmashauri imekisia kukusanya kiasi cha Shilingi 1.731,068,000 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato ya ndani ambapo mapato lindwa ni Sh. 1,281,000,000 sawa na asilimia 80; na sh. 450,000,000 sawa asilimia 20 mapato Lindwa.
Kaimu Mkuu wa Divisheni ya Mipango na Uratibu Bw. Kadiria Masune akiwasilisha mpango na bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 katika kikao cha Kamati ya Ushauri Wilaya ya Gairo
Aidha sh. 945,326,000 matumizi ya kawaida Ruzuku toka Serikali Kuu (OC) , Mishahara (PE) sh.14,716,495,408, na Miradi ya Maendeleo Sh. 8,248,144,000 Na kufanya jumla kuu yamatumizi kuwa Sh.25,641,033,408
Baadhi ya Viongozi wa Dini wakishiriki kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Gairo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa