Na. Cosmas Mathias Njingo
GAIRO, MOROGOR
Oktoba 19.2022.
Familia inatakiwa kujenga utaratibu wa kushirikiana katika kufanya maamuzi na kutekeleza shuguli mbalimbali za kifamili, hali hii itasaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya ukatili wa kijinsia ngazi ya familia.
Washiriki wa Warsha yasiku mbili ya kupinga vitendo vya Ukatili wa Kijinsia kupitia Mradi wa Mradi wa Rural Women Cultivating Change (RWCC ) unafadhiliwa na #GLOBAL AFFAIR CANADA kupitia #SEED CHANGE ambao niwawezeshaji wakubwa wa Asasi ya #PELUM Tanzania pamoja na
@Mtandao wa Jinsia Tanzania #TGNP wametoa mtazamo wao kuhusu sababu za kuwepo kwa ukatili wa kijinsia katika jamii
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa