Na. Cosmas Mathias Njingo
GAIRO, MOROGOR
Oktoba 20.2022.
Kundi la Wanawake linakutana na changamoto ya ukatili wa kijinsia mara nyingi zaidi ikilinganishwa na makundi mengine. Utafiti unaionyesha katika wanawake 10, kati yao 3 wamekumbana na vitendo hivyo.
@Anna Mwara Afisa, Programu na Mafunzo kutoka Taasisi ya #PELUM Tanzania, amebainisha hayo katika siku ya kwanza ya Mafunzo ya kupinga Ukatili wa Kijinsia chini ya Mradi wa Rural Woman Cultivating Change (RWCC) unaofadhiliwa na #GLOBAL AFFAIR CANADA kupitia #SEED CHANGE ambao niwawezeshaji wakubwa wa Asasi ya #PELUM Tanzania pamoja na
@Mtandao wa Jinsia Tanzania #TGNP
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa