Na. Cosmas Mathias Njingo. MOROGORO
Agosti 4. 2023
Mwenyekiti was Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Gairo Mhe. Jabiri Omari Makame (DC), @jabiri_makame_ amepiga marufuki watoto wenye umri chini ya miaka 18 kushiriki kwenye shughuli za uchimbaji madini kwenye migodo iliyopo Wilayani humo na badala yake Wazazi wawahimize Watoto wao kwenda shule.
Ametoa marufuku hiyo Julai 21 wakati wa ziara yake na Viongozi waandamizi wa Wilaya kujionea shughuli za uchimbaji madini katika migodi mipya iliyoibuliwa hivi karibuni na wachimbaji wadogo wadogo katika maeneo mbalimbali ya Kata ya Leshata.
Makame aliambatana na Katibu Tawala Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri na Kaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya Afande Mhina Donati naMhe.Diwani wa Kata hiyo
Mh Mchengerwa amesema hayo 4,Agosti 2023 wakati alipotembelea viwanja vya Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki Mkoani Morogoro ambapo pamoja na mambo mengine amepongeza juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa kiwango ambacho haijawahi kutokea hapo awali.
Amesema kuwa Tanzania imejaaliwa maeneo makubwa na yenye rutuba kwa wingi hivyo haipaswi wananchi wake kukosa chakula na kwamba endapo watu wakijikita katika kilimo cha biashara kila familia itakuwa na uwezo wa kupata mazao ya kutosha kwaajili ya biashara na chakula.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa