Mhe. Judith Nguli, Mkuu wa Wilaya ya Mvomero akikagua Moja ya mabanda ya maonesho ya shughuli na bidhaa mbalimbali zilizobuniwa na wanawakw, wakati wa kisherehekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawakw Duniani ambapo kwa Mkoa wa Morogoro yameadhimishwa Wilaya ya Gairo.
Mhe. Nguli alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwassa aliyepewa heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa