Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari Kata ya Rubeho wakionesha mabango ya kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi mahiri na utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi katika kuwaletea maendeleo Wananchi wa Wilaya ya Gairo.
Sherehe za kumpoongeza Mhe.Dakta SSH zilifanyika Machi 25 kwenye viwanja vya Gulio la Rubeho Kata ya Rubeho Wilaya ya Gairo, ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mhe. Jabiri Omari Makame, Mkuu wa Wilaya ya Gairo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa