Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatma Mwassa, akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo katika soko la Ngiloli, lililopo Kata ya Chigela Wilaya ya Gairo, kando kando ya barabara kuu ya Morogoro-Dodoma, alipofika kukagua utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa vizimba vya kisasa kwa ajili ya Wafanyabiashara hao wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 120
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa