Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (W) ya Gairo ikiongozwa na Nd. Danistani Mwendi Mwenyekiti wa Chama, ineendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali Sekta ya Elimu na Afya. Katika siku ya pili ya ziara hiyo, kamati ilitembelea Hospitali ya Wilaya kuona shughuli za utoaji wa huduma mbalimbali za afya zinavyoendelea hospitalini hapo.
Moja ya miradi iliyofikiwa ni wodi ya Wagonjwa wa dharula (EMD) Hospitali ya Wilaya ya Gairo, Wodi ya Mama na Mtoto, pamoja na wodi nyingine
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa