Shughuli za usindikaji wa mazao ya chakula na biashara zinafanywa na wafanya biashara ndogo ndogo katika vikundi na kupitia mtu mmoja mmoja hasa katika uwekezaji wa Mashine za kukoboa na kusaga nafaka, mashine za kukamua Alizeti kwa ajili ya kusindika Mafuta ya Alizeti ambayo soko lake ni kubwa ndani ya Wilaya na Nchi nzima ya Tanzania
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Kisimani, Kata ya Magoweko.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255
Simu ya Kiganjani: 0754837650
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa