Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Gairo leo tarehe 1 Julai imefanya kikao cha pamoja kujadili changamoto mbalimbali na utatuzi wa lishe kwa mwaka wa fedha 2019/2020 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya. Katika kikoa hicho kilichohudhuriwa na wakuu wa idara wote wanaoshiriki moja kwa moja katika shughuli za lishe wilayani hapa, wakiwemo wakuu wa idara ya Maendeleo ya Jamii, Kilimo, Usafi na mazingira, Mipango, Afya, Elimu, Utumishi ,TEHAMA, Kamati ya lishe Ngazi ya Mkoa na Kamati kutoka OR TAMISEMI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Kichangani, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255232935454
Simu ya Kiganjani: 0754837650
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa