• Mawasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
GAIRO DISTRICT COUNCIL
GAIRO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Authorities Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira
    • Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni za Halmashauri
      • Seksheni ya Rasilimali Watu
      • Seksheni ya Utawala
    • Divisheni ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Baraza la Madiwani
  • Miradi
    • Miradi ya Maendeleo
      • Sekta ya Elimu Msingi
        • Miradi Mipya
        • Miradi iliyokamilika
      • Sekta ya Elimu Sekondari
      • Sekta ya Afya
      • Sekta ya Barabara/Miundombinu
      • Sekta ya Maji
  • Machapisho
    • Katiba ya JMT
    • Sheria ndogo ndogo za Halmashauri
    • Hotuba Mbalimbali
    • Sera ya Elimu
    • Taarifa za Hesabu za Mwisho
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

Historia

Wilaya ya Gairo ilianzishwa kwa Tangazo la Serikali Na 75 la tarehe 02/03/2012 kufuatia kugawanywa kwa Wilaya ya Kilosa, na baadaye utekelezaji wa shughuli za Halmashauri ulianza rasmi Julai 2013. Gairo inapatikana kaskazini Magharibi mwa Mkoa wa Morogoro na inapitiwa na barabara kuu ya Morogoro-Dodoma.

Eneo la Wilaya ni Kilometa za mraba 1,851.34. inapakana na Wilaya ya Kongwa na Mpwapwa kwa upande wa Magharib, kilosa ipo Kusini na kwa upwande wa Mashariki zipo Kilosa na Mvomero. Aidha upande wa Kaskazini inapakana na sehemu ya Wilaya za Kongwa na Kiteto.

Gairo inakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 193,011 (Me 93,206 na Ke 99,805, hii ni kwamujibu wa Sensa ya watu na Makazi ya mwaka 2012. Wastani wa watu kwa kaya ni 5.2 sawa naongezeko la asilimia 2.6 kwa mwaka.

Wilaya inaundwa na Tarafa mbili , Kata 18, vijiji 50 na vitongoji 304 (23 kati ya hivyo viko chini ya Mamlaka ya Mji Mdogo wa Gairo) . Lipo jimbo moja la uchaguzi la Gairo.  Jumla ya madiwani 24  wakiwemo 18 wa kuchaaguliwa na 6 ni viti maalumu.

Kauli mbiu yetu ni "Ifanye Gairo kuwa Halmashauri kubwa kimapato"

Matangazo ya Kawaida

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Shule za Sekondari za Gairo December 16, 2022
  • SOMA TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KADA MBALIMBALI May 25, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUZOA TAKA, KUFANYA USAFI NA KUKUSANYA USHURU WA USAFI June 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 19, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • CHONGOLO ATIMIZA AHADI YAKE

    February 16, 2023
  • DCC YAPITISHA BAJETI YA SH.1.7 BILIONI

    February 15, 2023
  • WAKANDARASI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI

    February 14, 2023
  • RAIS SAMIA AWATAKA VIJANA KUWA NA ARI YA KULITUMIKIA TAIFA

    February 11, 2023
  • Tazama zote

Video

MWANASHERIA MSOMI AAMUA KUUZA JUISI MITAANI
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Zabuni za Manunuzi
  • Zabuni za Ujenzi
  • Huduma

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu ya Tanzania
  • GAIRO ONLINE TV
  • MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA SITA 2022 GAIRO SEKONDARI
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Mawasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.

    Sanduku la Posta: 40, GAIRO

    Simu ya Mezani: +255232935454

    Simu ya Kiganjani: +255 767498981

    Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa