Na.Cosmas Njingo, GAIRO
Katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 kipindi cha Robo ya Kwanza, Halmashauri ya Wilaya ya Gairo imepokea zaidi ya Shilingi Bilioni TSh.1 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za miradi mbalimbali ya Maendeleo, ambazo zimeelekezwa katika Sekta za Afya, Elimu Awali na Msingi, Elimu Sekondari na Utawala.
(Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Bi. Sharifa Nabalang'anya, akizungumza katika Mkutano wa Baraza la Kawaida la Waheshimiwa Madiwani la kujadili taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya Pili Oktoba Disemba 2023/2024)
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Bi. Sharifa Nabalang'anya wakati akimkaribisha Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Rachel Nyangasi katika Kikao cha Baraza la Wahe. Madiwani cha kujadili taarifa za Robo ya Kwanza ya 2023/2024.
(Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Bi. Sharifa Nabalang'anya, akizungumza katika Mkutano wa Baraza la Kawaida la Waheshimiwa Madiwani la kujadili taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya Pili Oktoba Disemba 2023/2024)
"Tumepokea Fedha za Maendeleo zaidi ya Shilingi Bilioni 1 kwa robo ya Kwanza ya 2023. Nichukue fursa hii kumshukuru sana na kumpongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuleta fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za miradi ya mandelo". Alisema Mkurugenzi huyo
(Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Bi. Sharifa Nabalang'anya, akizungumza katika Mkutano wa Baraza la Kawaida la Waheshimiwa Madiwani la kujadili taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya Pili Oktoba Disemba 2023/2024)
Wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Kawaida la Waheshimiwa Madiwani la kujadili taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo ya Pili Oktoba Disemba 2023/2024).
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa