Na. Cosmas Mathias Njingo. 88 MOROGORO
Agosti 9.2023
Wakulima wilayani Gairo wahimizwa kuacha kilimo cha mazoe na kulima kilimo Biashara kwa kuzingatia mtumizi ya Teknolojia za kilimo sambamba na kuzalisha Alizeti na Viazi damu kwa wingi kwani kwa kufanya hivyo wakulima watapanua wigo wa soko na kuongeza kipato chao.
Rai hiyo imetolewa na Mkazi wa Gairo Ndg. Hidha Abdallah Said, Agasti 9.2023 Kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere wakati wa Maonesho ya shughuli za Kilimo, Mifugo, Uvuvi na Umwagiliaji ambayo yamefikia kikomo Agosti 9.2023.
“Huu ni muda muafaka wa mabadiliko, bado hatijachelewa. Wakulima wa Gairo wabadilike na kuondokana na kilimo cha mazoea. Teknolojia zipo za kutosha Serikali inatoa fursa mbalimbali za Mikopo ya kilimo hivyo tuondokane na kilimo cha mazoea tulime kibiashara”. Alisema Mdau huyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 787730665
Simu ya Kiganjani: +255 717222572
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa