Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anapenda kuwaita kwenye usaili waombaji waliokidhi vigezo kwa nafasi za Udereva, Katibu Mahsusi na Wasaidizi wa Kumbukumbu. Usaili utafanyika kuanzia tarehe 28 Julai 2022. Kwa maelezo zaidi gonga linki hii kupakua tangazo na maelekezo muhimu ya kuzingatia: TANGAZO KUITWA KWENYEUSAILI 2022. pdf
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Gairo-Mtaa wa Malimbika, Kata ya Gairo.
Sanduku la Posta: 40, GAIRO
Simu ya Mezani: +255 715240010
Simu ya Kiganjani: +255 715240010
Barua pepe: ded@gairodc.go.tz, info@gairodc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Gairo. Haki Zote Zimehifadhiwa