Posted on: July 12th, 2024
Marufuku imetolewa kwa Wafanyabiashara wa mazao kununua na kuuza mazao kwa kupima kwenye madebe au vipimo vilivyo kinyume na Sheria ya Vipimo, na badala yake Mazao yote yapimwe kwa uzito wa kilo kabla...
Posted on: July 11th, 2024
Na. Cosmas Mathias Njingo
Julia 11.2024.
Kama unataka Mali utaipata Shambani; Wananchi wa Kijiji cha Mtega Kata ya Nongwe Wilaya ya Gairo, wamesema wapo tayari kuondokanana umaskini kw...
Posted on: July 11th, 2024
Julai 11.2024
Ziara ya Mhe. Jabir Makame, Mkuu wa Wilaya ya Gairo kata ya Chanjale kukagua miradi ya maendeleo, kuongea na Wananchi ikiwa ni mkakati wa kuhimiza kilimo bora na kutatua kero za Wanan...