Posted on: September 9th, 2025
Jumla ya wanafunzi 3,907 wa shule za msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo wameanza kufanya Mtihani wa Taifa wa Kuhitimu Elimu ya Msingi (Darasa la Saba) 2025, sambamba na wenzao nchi nzima.
...
Posted on: September 9th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Japhari Kubecha, ameendelea na ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi ambapo Septemba 9, 2025 alitembelea Kata ya Idibo. Katika ziara hiyo, alikagua jengo la polisi linalot...
Posted on: September 8th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Japhari Kubecha, amefanya kikao na watumishi wa kilimo wa wilaya hiyo ili kujadili hatua za kuboresha sekta ya kilimo na kuimarisha maendeleo ya kilimo katika eneo hilo. Kikao...