Posted on: July 21st, 2023
Divisheni ya Elimu SEKONDARI, Halmashsuri ya Wilaya ya Gairo imepokea gari jipya kwa ajili ya kuwezesha usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli mbalimbali za Divisheni hiyo.
Tunaishukuru Ser...
Posted on: July 20th, 2023
Na. Cosmas Njingo. GAIRO
Julai 20.2023
Halmashauri ya Wilaya ya Gairo imepokea Fedha kiasi cha TZS 528,000,000.00 (Milioni miatano ishirini na nane) za ujenzi wa Shule Mpya ya Sekond...
Posted on: July 19th, 2023
DBW inatarajiwa kuanza rasmi kazi ya uwekezaji wa mabilioni ya fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za bandari. Uwekezaji huu unatarajiwa kuleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi na kuchagiza katika ukuaji...