Posted on: November 2nd, 2023
Na. Cosmas Mathias Njingo. GAIRO
Novemba 2.2023
Sekta ya Afya Wilayani Gairo imeimarika na kuboresha utoaji wa huduma za Afya kwa Mama na watoto kiasi cha kupunguza vifo kutoka 13 mwaka...
Posted on: September 22nd, 2023
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (W) ya Gairo ikiongozwa na Nd. Danistani Mwendi Mwenyekiti wa Chama, ineendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali Sekta ya Elimu na Afya. Katika siku ya...
Posted on: August 21st, 2023
Ukaguzi wa Miradi unaendelea. Kamati ya Siasa ikikagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Vyumba 3 vya madarasa na matundu ya vyoo shule ya Msingi Chinyankala Kata ya Rubeho. Mradi unaotekelezwa kwa Fedh...